Nahodha wa Chelsea John Terry hatoweza kucheza mechi ya hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Paris St-Germain Jumanne jioni.
Terry mwenye miaka 35 atakuwa anauguza jeraha kwenye misuli ya paja.
Meneja Guus Hiddink amesema anaamini klabu hiyo inaweza kujimudu bila nahodha huyo.
Akiongea na waandishi wa habari
Hakusafiri pamoja na wachezaji hao kuelekea Ufaransa Jumatatu.
Aliumia wakati wa ushindi wa Chelsea wa 5-1 dhidi ya Newcastle Ligi ya Premia Jumamosi.
Hakusafiri pamoja na wachezaji hao kuelekea Ufaransa Jumatatu.
Aliumia wakati wa ushindi wa Chelsea wa 5-1 dhidi ya Newcastle Ligi ya Premia Jumamosi.
0 comments:
Post a Comment