Kanye West amchana Taylor Swift kwenye wimbo uliopo kwenye album mpya
Kanye West amemchana Taylor Swift kwenye wimbo wake ‘Famous’ uliopo kwenye album yake mpya, ‘The Life of Pablo.’
Kwenye wimbo huo, Kanye anasema: I feel like me and Taylor might still have sex. / Why? I made that bitch famous.”
Mashabiki wa Taylor wamechukia na wanazitoa hasira zao kwenye mitandao ya kijamii. Kaka yake na Swift, Austin Swift, amepost video kwenye Instagram zikimuonesha akitupa pair ya kiatu cha West.
Hii si mara ya kwanza Kanye anamchokoza Taylor. Mwaka 2009 kwenye tuzo za MTV alimkatisha wakati alipokuwa akishukuru kwa tuzo aliyoshinda.
0 comments:
Post a Comment