Waimbaji wawili wa bendi ya Kalunde wakamatwa kwa kosa la kuishi nchini bila kibali


Jeshi la Uhamiaji limewakamata waimbaji wawili wa bendi ya Kalunde kwa kosa la kuishi na kufanya kazi nchini bila kibali.



Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Uhamiaji, tarehe 10 mwezi huu waliweza kuwakamata watu hao wakiishi nchini na kufanya kazi bila bila kibali.

Akizungumza na Bongo5 Ijumaa hii, Mmiliki wa bendi ya Kalunde, Deo Mwanambilimbi amethitisha kukamatwa kwa watu wake.

“Kweli ni watu wangu, lakini kwa sasa naomba tuache vyombo vya sheria viendelee na kazi yake,” alisema Deo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment