Kanye West amezindua album yake mpya, The Life of Pablo pamoja na awamu nyingine ya nguo zake za Yeezy msimu wa tatu kwenye ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York Alhamis hii.
Show hiyo iliyokuwa imejaza imehudhuriwa na mastaa kibao ikiwemo familia nzima ya Kardashians akiwe mke wake Kim Kardashian na mwanae North, Jay Z, 50 Cent, Jennifer Hudson, Lil’ Kim, Pusha T, Travis Scott, Vic Mensa, 2 Chainz, Lamar Odom, Tyga na wengine.
Uzinduzi huo uliotumia dakika 90 ulisindikizwa na fashion show ya mamia ya models na kuicheza album yake nzima. Hizi ni picha zaidi (Chanzo: Daily Mail)
0 comments:
Post a Comment