Amitabh Bachchan akana tuhuma za kukwepa kulipa ushuru



Muigizaji mgongwe wa filamu za Bollywood Amitabh Bachchan amekana kuhusishwa na kampuni zozote za kigeni anazotumia kukwepa kulipa ushuru.



India Express imeripoti kwamba Bw Bachchan aliteuliwa mkurugenzi wa kampuni nne za kigeni mwaka 1993,zilizosajiliwa katika kisiwa cha Uingereza cha Virgin Island na Bahamas.

Yeye na nyota mwenzake wa kike Aishwarya Rai ni miongoni mwa Wahindi 500 walioorodhshwa katika gazeti la Panama,gazeti hilo limesema.

Mshauri wa Bi Rai wa maswala ya uwanahabari amehoji uhalisia wa ripoti hiyo

Gazeti la India Express liliripoti kwamba bw Bachchan alikuwa amekataa kutoa tamko lolote,lakini alitoa taarifa siku ya Jumanne akikana kujihusisha.

Source: BBC

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment