Banky W asaini mkataba mpya na Samsung


Bosi wa Empire Mates Entertainment (E.M.E), Banky W amesaini mkataba mpya na kampuni ya Samsung baada ya ule wa kwanza kufikia mwishoni.

Samatta-77
Baada ya kusaini mkataba huo, Banky W aliandika, “Grateful and happy for yet another year with my @samsungmobileng family!!! #Thankful #Godisgood #WeMove”
Banky W aliingia mkataba kwa mara ya kwanza na kampuni hiyo ya Samsung mwaka 2011.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment