Mr Flavour asaini dili jipya na kampuni ya bia




Mr flavour amesaini dili jipya na kampuni ya bia.



Hivi karibuni mastaa kibao wa Nigeria wameonekana kuchangamkia fursa kwa kusaini mikataba na makampuni kadhaa na kuwafanya akaunti zao za benki kuongezeka.

Flavour amefanikiwa kusaini mkataba wa kuwa balozi wa Life Beer inayotengenezwa nchini Nigeria. Kwenye akaunti yake ya instagram mr Flavour alipost picha akiwa anasaini mkataba huo na kuandika: “Life is good 😊 Golibe !!So happy to be a Brand ambassador for Life Beer – NB thanks @pauloo2104”








Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment