New Music: Ferooz – Nimejifunza


Baada ya ukimya wa muda mrefu, Ferooz amerejea tena na wimbo mpya ‘Nimejifunza.’ Akiongea na Bongo5, Ferooz amesema wimbo huu unazungumzia alichojifunza wakati alipopata matatizo na kuwabaini marafiki wanafiki na wa kweli.



Wimbo umetayarishwa kwenye studio za Mkubwa na Wanawe na Shirko. Kwa sasa muimbaji huyo yupo chini ya Said Fella aliyeshiriki kuuandika.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment