
Mwimbaji wa nyimbo za soul nchini Marekani, Billy Paul amefariki akiwa na umri wa miaka 81. Alijulikana kwa wimbo wake 'Me and Mrs Jones' alio uachilia mwaka 1972 uliompa tuzo ya Grammy anakuwa namba moja katika US.
Kwa mujibu wa tovuti yake, Billy alifariki siku ya Jumapili ambapo alikuwa na hali mbaya sana. Jarida la Muziki la NME limeripoti kuwa inawezekana ikawa ni saratani.
Wakati wa ujana wake alishawahi kuimba pamoja na Charlie Parker na Nina Simone.
0 comments:
Post a Comment