Natamani kufanya kazi na Vee Money – Pam D



Msanii wa Bongo Fleva, Pam D aka Pam Daffa amesema kuwa anatamani kufanya kazi na Vee Money.




Sasa hivi natarajia kuachia wimbo wangu mpya na Nay wa Mitego, nadhani utatoka kama baada ya wiki mbili hivi, jina la wimbo kwa sasa hivi siwezi kusema, ila ni wimbo ambao unahusu mapenzi. Natamani sana kufanya kazi na Vanesa Mdee, ni msanii ambaye namuona ameanza vizuri sana na pia naona ni msanii mwenye kujituma sana na mwenye mafanikio. Naona kila siku anazidi kusogea mbele, nilishawahi kumwambia kuwa nataka kufanya naye, alifurahi sana.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment