Picha za Bill Nas akishoot Video ya wimbo wake ‘Chafu Pozi’



Baada ya kuachia wimbo wa ‘Chafu Pozi’ hivi karibuni, Bill Nas ameanza kushoot video ya wimbo huo.



Bill Nas ametumia kampuni ya Kwetu Studio kuandaa video hiyo chini ya director wake Msafiri, kutokana picha alizopost director wa video hiyo zinaonyesha kuwa video hiyo inafanyika kwenye location ya nje ya Tanzania.

Picha za Bill Nas wakiwa location wanashoot video ya Chafu Pozi






Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment