Picha: Kobe Bryant aastafu kikapu kwa kufunga pointi 60



Kobe Bryant amecheza mchezo wake wa mwisho kwa nguvu ya ajabu kwa kuifungia timu yake, Los Angeles Lakers vikapu 60 alfajiri ya leo.



Mchezo huo dhidi ya Utah Jazz umemalizika kwa vikapu 101-96.



Ameutumia mchezo huo kuwaaga rasmi mashabiki wake baada ya kucheza kikapu kwa miaka 20. Mastaa mbalimbali wameendelea kumuaga kwenye mitandao ya kijamii.








Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment