Picha: Mamia wajitokeza kumzika Ndanda Kosovo



Mamia ya watu jijini Dar es Saalam wamejitokeza kumzika msanii wa muziki wa dansi Ndanda Kosovo Kosovo aliyefariki dunia Jumamosi iliyopita katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.


Mama yake Ndanda akimuaga mwanae kwa mara ya mwisho
Mazishi hayo yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar,na kuhudhuriwa na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa Michezo, Mh Nape Moses Nnauye, Mkuu wa mkoa wa Kinondoni Paul Makonda, wasanii pamoja na wadau mbalimbali wa burudani.

Awali ya hayo, mwili wa marehemu Ndanda Kosovo, uliwasili ubalozi wa Kongo wa zamani, Kinondoni Ananasif ukitokea Muhimbili, ambapo ndugu wa marehemu, viongozi wa serikali pamoja na wasanii walipata fursa ya kuaga mwili kwa mara ya mwisho. Tazama picha.

Wadau waliyojitokeza kumzika Ndanda



Katibu Mkuu wa Basata, Geoffrey Mwingereza (katikati) akiwa kwenye mazishi


Mama yake Ndanda akimuaga mwanae kwa mara ya mwisho


Kuaga mwili wa marehemu


Lady Jaydee akisaini kitabu cha wageni


Mama yake Ndanda akimuaga mwanae kwa mara ya mwisho


Mama Yake Ndanda Kosovo akilia kwa uchungu


Nape akizungumza na Lady Jaydee baada ya kumaliza shughuli za kuaga mwili wa marehemu













Credit Bongo5
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment