Shamsa Ford atumia Instagram kuandika waraka wakuponda mapenzi ya mastaa wa Bongo


post-feature-image



Muigizaji wa Bongo Movie, Shamsa Ford, ambaye hajawahi kukaa kwenye sifa ya kudumu na mtu katika mahusiano ya mapenzi haswa baada ya siku chache kupiga story na GPL kwakusema kuwa mwanaume aliye zaa naye aikuwa amuharibu ubongo kwa kipigo, Lakini aliwahi kuwa na Nay Wamitego ambaye mwanzo hawakuweka wazi uhusiano wao na walipochukua hatua ya kuuweka wazi haikupita mwezi akaachwa.


Ameamua kutumia siku ya jana ambayo Jay Z na Beyonce walikuwa wanasherekea anniversary yao kwakuponda mapenzi ya mastaa wa Bongo kwakuandika haya "Haya ndo mahusiano nayoyakubali dunia nzima.unaweza kuona mapenzi ,mafanikio na kazi katika nyuso zao....lakini mahusiano ya mastar wetu wa hapa bongo yakidumu sana ni miezi 3..Mimi huwa naona mapenzi ya mastar wa bongo ni kutafuta kick tu but si mahusiano ya kweli. ...Mungu niepushe mimi kuwa na mahusiano na star yoyote. Happy anniversary Mr and Mrs JAZZ. ..❤"
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment