WATCH OUT UJIO MPYA WA SWEET REGGAE BONGO NA YOZZ PIANO




Msanii wa mziki wa kizazi kipya Yozz Piano amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula na ladha mpya ya mziki wa sweet reggae Tanzania. 

Akizungumza na Habari House Piano amesema "Mashabiki wangu wakae mkao wa kula naleta fleva mpya na ladha mpya ya muziki wa sweety reggae Tanzania nina ngoma moja kali sana aisee si ya nchi hii noma sana, video ya wimbo nitaanza kushoot tarehe 29 mwezi huu wa 4 chini ya director Kenny so mafans wangu wakae mkao wa kula vitu vitamu".

Aidha Piano amelizungumzia kundi lake la Puff Adder Mob kuwa ni kundi ambalo linakuja kwa kasi kuleta mabadiliko ya mziki uliozoeleka kusikika masikioni mwa watu wengi kuanzia katika mtindo rnb, hip hop pamoja na reggae.

"Niko katika kundi linaitwa Puff Adder Mob ni kundi ambalo alijawahi kusikika sana ila lina jina kubwa kwenye mitaa C.E.O wetu ni Kiver T na kuna jamaa anaitwa Lil paul ambaye kazi zake zitaanza kusikika hivi karibu , so kundi letu linaundwa na watu watatu tu."
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment