Akon kuachia albamu yake mpya ‘Stadium’ mwaka huu



Akon amepanga kuachia albamu yake mpya ‘Stadium’ mwaka huu itakayoambatana na tour.



Amesema wiki chache zijazo watataja tarehe rasmi ya kutoka kwa albamu hiyo.

“We will be lining up an official tour for this album. But you will catch me doing spot dates every once and a while at some place in the world, that’s what I’ve been doing for forever. I can’t remember actually doing an official tour. But this time we are going to actually schedule an actual tour. It will definitely be a worldwide tour because we do have a lot of territory to cover, but the dates will depend on the album release date. So once I get that surely after we will have the tour dates and I will announce it,” amesema Akon.

Mara ya mwisho Akon kufanya tour ilikuwa ni mwaka 2011 ‘OMG Tour’ aliambatana na Usher Raymond lakini mwaka huu amepanga kufanya tena tour kwa ajili ya albamu yake hiyo mpya.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment