Najivunia discipline niliyonayo – Madee



Hamad Ally Seneida maarufu kama Madee, ameeleza kuwa kikubwa zaidi anachojivunia ni heshima aliyonayo na ndiyo anayoamini kuwa imemfikisha hapa alipo.





Akiongea na Jabir Saleh Jumanne hii katika kipindi cha Ladha 3600, Madee alisema ana miaka 14 Tip top Connection hajawahi kugombana na uongozi wake,watangazaji na madjs na wala hategemei kama atakuja kufanya hivyo.

Madee kwa sasa anatamba na video ya ngoma yake ‘Migulu Pande’ iliyoongozwa na director mkongwe nchini, Adam Juma. Video hiyo imepokelewa vizuri tangu alipoiachia Jumamosi iliyopita.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment