Belle 9 kuachia video ya remix BMS Ijumaa hii, waongozaji 3 wamehusika


Video ya remix ya ngoma ya Belle 9, Bulger Movie Selfie inatoka Ijumaa hii.



Ngoma hiyo imeshirikisha wasanii watano ambao ni pamoja na Izzo B, Jux, G-Nako, Mr Blue na Maua Sama.

Staa huyo ameiambia Bongo5 kuwa video hiyo imeguswa na waongozaji watatu ambapo muongozaji mkuu ni Mkenya, Enos Olik.

Wengine ni Hanscana na Khalfan.



Amedai pia kuwa camera iliyotumika ni Red ambayo huchukua picha zenye ubora mkubwa zaidi.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment