Pam D aelezea ukaribu wake Nay wa Mitego


Pam D amefunguka kuhusiana na taarifa zilizokuwa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na Nay wa Mitego.



Akiongea na Bongo5, Pam amesema:

Kwanza niwajulishe tu mashabiki wangu kuwa ukaribu wangu mimi na Nay wa Mitego ni washkaji na pia kuna kazi inakuja yangu na Nay ambayo nayo ndo ilikuwa inatuweka karibu. Hiyo kazi mpya inaitwa ‘Nipe Nono’ Producer Mr. T Touch na kazi inatoka wiki hii. Nadhani watu watakuwa hapo wameshapata jibu sasa la ukaribu wangu na Nay wa Mitego."

Source Bongo5
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment