Ualimu haikuwa hobby yangu, nilifundisha basi tu – Roma



NA JOHN SIMWANZA

Hivi unajua kuwa Roma Mkatoliki aliwahi kuwa mwalimu wa sekondari?



Mkali huyo wa hip hop ameyazungumzia maisha yake kipindi anafundisha shule ya sekondari kwao mkoani Tanga.

Akizungumza kwenye ‘Umeinyaka’ ya kipindi cha Ladha 3600 cha EFM, Mkatoliki amesema, “nilikuwa na wakati mgumu sana hasa kwa wanafunzi niliokuwa nawafundisha, wengine ilifikia hatua ya kuniandikia mistari katika baadhi ya masomo niliyokuwa nafundisha ikiwemo Mathematics na Geography.”

“Mimi kuwa teacher haikuwa hobby yangu sema maisha ndio yalinibidi nikimbilie huko.”


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment