Wiz Khalifa azungumzia mahusiano yake na Amber Rose kwa sasa


Baada ya kusherehekea talaka yao mapema mwezi huu, Wiz Khalifa afunguka juu ya mahusiano yake na Amber Rose kwa sasa na mipango ya kufunga ndoa.



Akifanya mahojiano na Hot 97 ya New York, Wiz Khalifa alisema, “We broke up. That’s just a little piece of it, but in the end it’s always going to be about the love.” Lakini pia aliongeza kuwa hana mpango mwingine wa kupata mtoto mwingine kwa sasa wala mipango ya kufunga ndoa.

Amber Rose na Wiz Khalifa wamefanikiwa kupata mtoto mmoja [Sebastian] lakini pia wameachana lakini wameonekana wakishirikiana mara nyingi tofauti na mastaa wengine wanapoachana.

Tazama video hapa.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment