Ni brand ya nguo? Mr Blue aonjesha logo ya mradi wake ‘Byser’


Mr Blue ameonjesha logo ya mradi wake mpya ambao anadai unakuja hivi karibuni. Japo hajasema ni kitu gani, kuna kila dalili kuwa inaweza kuwa ni clothing line yake.

Kupitia Instagram, rapper huyo wa Mboga Saba amepost picha yenye logo na jina ‘Byser’ na kuandika #somethingiscoming.




Katika kipindi cha miaka miwili hii, Blue amekuwa mmoja wa wasanii walioingiza fedha nyingi kupitia show mbalimbali huku akiwa msanii aliyetumbuiza kwenye takriban show zote za Fiesta mwaka huu. Kuwekeza kwenye miradi mingine tofauti na muziki kunamweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuingiza fedha.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment