Gilikipa Oscarine Masuluke wa klabu ya Baroka FC inayoshiriki ligi kuu ya South Africa, kipa huyo ameingia kwenye vichwa vya habari vingi amekuwa gumzo baada ya kuifungia timu yake goli la tik tak ambapo ameikoa club yake kupoteza point zote kwenye mechi ya ligi kuu ya South Africa.
Oscarine Masuluke wa Baroka FC alikuwa ameenda kushambulia mpira wa kona dakika ya 95 zikiwa zimebaki sekunde game kuisha ndipo kipa wa Orlando kapangua mpira huo wa kona ndipo mpira ulimkuta Masuluke na kufunga goli hilo la tik tak kwenye mechi dhidi ya Orlando Pirates na kufanya matokeo yaishe 1-1.
Angalia hapa Video ya goli hilo
0 comments:
Post a Comment