Jean Claude Van Damme na Dolph Lundgren kuja na Black Water


Waigizaji wakongwe wa filamu za mapigano Jean Claude Van Damme pamoja na Dolph Lundgren wanaingia mzigoni kuanza kushoot filamu mpya iitwayo Black Water.



Filamu hiyo iliyoandikwa na Chad Law (Six Bullets, Daylight’s E) inatarajiwa kuanza kutengenezwa kuanzia Januari mwaka huu.

“Hi friends, I have some exciting news! Soon I’ll be shooting a new movie called ‘Black Water’ with Dolph Lundgren and my son Kris!
#JCVD #BlackWater #ComingSoon,” aliandika Van Damme.

Van Damme ni mmoja kati ya waigizaji wakongwe ambao katika kipindi cha nyuma alifanya vizuri na filamu ya Hard Target ambayo ilimpatia umaarufu mkubwa duniani.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment