Jose Mourinho afunguka kuhusu Ibrahimovic



Mchezaji wa klabu ya Manchester United Zlatan Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 35 inaoanekana sasa amenogewa kuendelea kuvaa jezi ya Old Trafford.



Kwa wakati huu anataka kupewa nafasi zaidi ya kukipiga kwa msimu mmoja zaidi akiwa na United. amesema Jose Mourinho. Zlatan Ibrahimovic ambaye hadi saivi ameshaifungia timu hiyo magoli 18 katika mechi 28 alizo cheza.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment