Picha: Rick Ross azawadiwa Ferrari na Luc Belaire kwenye birthday yake


Rapper Rick Ross ambaye ni bosi wa lebo ya Maybach Music Group siku ya January 28, alikuwa akisheherekea kufikisha umri wa miaka 4 na kupewa gari mpya aina ya Ferrari kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa na kampuni ya kilevi cha Belaire.



Rozay ni balozi wa Luc Belaire kutoka Ufaransa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rozay aliweka picha mbili za gari hiyo ikiwa nje ya nyumba yake mjini Atlanta, Georgia ambako sherehe hiyo ilifanyikia na kuhudhuriwa na wasanii kadhaa akiwemo Meek Mell, YG, Jeezy, Big Boi, Big K.R.I.T., DeJ Loaf, Usher, Yung Dolph.

Tazama picha za party hiyo:












Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment