Jay Z na Future wazidi kuchuniana


Huwenda bifu likawa la kweli kati ya rapper Jay Z na Future, baada ya moja ya ngoma inayopatikana katika albamu ya 4: 44 kumchana Future. 


Jay-Z na Rihanna 

Wawili hao walihudhuria sherehe ya Diamond Ball 2017 inayoshirikiana na taasisi ya Clara Lionel, ilifanyika katika katika ukumbi wa Cipriani Wall Street mjini New York City na kushereheshwa na mwanamuziki Rihanna. Inaelezwa kuwa rapper Jay Z na Future walitofautiana kidogo baada ya kuchanwa na rapper boss wa Roc Nation kwa kuachana na Ex -wake Ciara.

Hata hivyo mapaparazi hawakufanikiwa kupata picha ya pamoja ya wawili katika sherehe hiyo iliyoudhuriwa na mastaa kama Beyonce, Jidenna, Kendrick Lamar, Future, Trevor Noah,Young Thug, Lil Kim, na wengineo.

Future 



Beyonce na Rihanna
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment