Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mpoto ameandika:
Anahitajika msimamizi wa Mradi na masoko kuanzia tarehe 1/9
Uzoefu wa usimamizi wa miradi na masoko ni lazima, Ujuzi wa lugha ya kiingereza na Kiswahili. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 mwezi wa 8.Tafadhari wasilisha maombi yako yalioambatana na barua inayoeleza kwa nini unapenda ukae katika nafasi hiyo katika kutoka kutoka shambani@gmail.com kwa maelezo zaidi piga simu 0789293399
Kutoka Shambani is on the way; the position of Project coordinator and Marketing will become vacant on September 1st.
Previous project coordination experience, Marketing, English and Swahili languages experience is a must. The deadline for applications is August 30.
Please submit a standard application with your resume and a cover letter explaining your interest in this position at kutokshambani@gmail.com If you have further questions, call 0789243399
0 comments:
Post a Comment