Ray C amedai kupata msaada kutoka Ujerumani utakaosaidia kuandaa documentary ya maisha yake.
Sitakiwi kuongea ila kwa sababu Documentary inakamilika muda si mrefu nimeona niwambie tu kuwa Ray C Foundation imepata Donor mkubwa sana kutoka Germany.na tayari tumeshaanza kushoot Documentary ya maisha yangu ya Uteja!Documentary hii inanihisu Mimi kama mwanamuziki itaonyesha jinsi gani nilivyoanza kuvuta madawa ya kulevya na majanga yote niliyofanya ili niweze kununua unga na mengi sana mabaya niliyokutana nao kipindi niko hoi na unga
0 comments:
Post a Comment