Nahreel aeleza kwanini hajachukua wasanii tofauti na washikaji zake wale wale kufundisha kwenye chuo chake, ‘TIMS’


Kile chuo cha muziki ambacho producer Nahreel wa The Industry amesema anakifungua ‘TIMS’, kitakuwa na walimu ambao ni washikaji zake tuliozoea kuwaona pamoja.



Wapo wasanii na maproducer wengi wenye ujuzi na ufahamu mkubwa wa muziki Tanzania, lakini Nahreel amewachagua wakina Nikki WA Pili, Aika, Vee Money kuwanoa wanafunzi wa ‘TIMS’ bila kuhitaji wasanii tofauti na wa familia yao.

Nahreel amesema kuwa amewachagua wao kwasababu kutakuwa na urahisi zaidi kufanya kazi wenyewe kutokana na ukaribu wao.

“Sisi wenyewe kama familia tunaweza kufanya vitu kirahisi zaidi kwasababu tumeshakuwa kama familia, kwasababu kila mtu anaelewa ile hustle mi nimetoka na Weusi mbali sana kwahiyo mi nikiwa naleta idea wenyewe watakuwa watu wa kwanza kusupport
.” Alisema Nahreel kupitia 255 ya Clouds Fm.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment