Picha na Video: Show ya Ommy Dimpoz na Shilole wakiwa jiji Houston TX kabla ya kwenda show ya pili Washinton DC





Ommy Dimpoz na Shilole wamekuwa na show nzuri juzi waliyo ifanya jijini Huoston TX Marekani baada ya kufanya promotion ya show hiyo kwa muda mrefu. Show hii imekuwa ni ya kwanza kwao katika show ambazo zimewafanya waende Marekani. Usiku wa kuamkia leo wamebahatika kufanya show nyingine jijini Washinton DC ambayo bado sijaweka picha zake.



Picha:




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment