Luteni Kalama kufunga ndoa na mchumba wake Bella

Msanii wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Kalama amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake Bella.

luteni

Akizungumza na Friday Night Live hivi karibuni, Kalama alisema yeye na mpenzi wake Bella wapo kwenye maandalizi ya kufunga pingu za maisha.
“Bella bado niko naye ni mchumba wangu na soon ndoa itafanyika. Tulikuwa hatufanyi kwaajili ya kiki, tupo real na tunapendana na sasa ametoka kunipitia,” alisema Kalama.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment