Tyga aapa kuwa hatakuja kuvuta bangi mbele ya mwanaye



Rapper Tyga ni baba wa mtoto mmoja wa kiume aliyempata na aliyekuwa mpenzi wake Blac Chyna.





Katika kuonesha kuwa yeye ni baba bora na mwenye malezi mema kwa mtoto wake aitwaye King Cairo, rapper huyo ameapa kuwa kamwe hatawahi kuja kuvuta bangi mbele ya mwanaye mwenye miaka mitatu, wala kuruhusu mtu mwingine yeyote kufanya hivyo, kwa mujibu wa vyanzo vya TMZ.




Kauli hiyo imekuja baada Tyga kupost video controversial ikimuonesha mwanaye akiwa anacheza karibu na meza ambayo inaonekana kuna kitu kinachodaiwa kuwa ni msokoto wa bangi.

Video hiyo iliibua hisia tofauti kutoka kwa followers wake walioanza kuhoji uwezo wake wa malezi bora kwa mtoto huyo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment