Jay Moe ataja sababu ya kuchelewa kuoa
Jay Moe amesema bado hajapata mke mwema atakayeendana na ndoto zake.
Jay Moe alisema hadi sasa bado hana mchumba.
“Bado napambana na kuangalia nani ambaye anaweza kwenda na ndoto zangu sio ilimradi tu nimeoa halafu watu waanze kuongea niliachana na yule! Ndio maana najaribu kuwa makini kupita njia ambazo zitakuwa sahihi kwangu,” alisema.
0 comments:
Post a Comment