50 Cent azidi kuonyesha ushahidi wa kufilisika,amtumia babu yake sasa.






50 Cent amejipanga kuonyesha kuwa ameishiwa na kufilisika kabisa baada ya kuonyesha ushahidi mpya wiki iliyopita. 50 Cent anasema analipa dola $3,443 kwa babu yake Curtis Jackson Sr kila mwezi ili kumsaidia kwenye maisha yake.

Kwa sasa 50 Cent anasema pato lake kwa mwezi ni dola is $183,000 na matumizi yake ni $108,000 kwa mwezi. 50 anasema anadaiwa dola milioni $28 million kutoka kwa watu 20 tofauti akiwemo Lastonia Leviston, ambaye anamdai dola milioni 7 kwa kuweka video yake ya maswala ya ngono mtandaoni.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment