Jacqueline Wolper ni mapenzi tele kwa Diamond na Zari




Diamond hana ukaribu tena maex wake, Wema Sepetu na Jokate Mwegelo lakini si kwa Jacqueline Wolper.



Kwanza mrembo huyo ameonekana kwenye video ya Utanipenda na sasa anataka dunia ijue kuwa haumizwi na maneno ya watu kuwa anajipendekeza kwa couple hiyo.

“Nimejisikia kupost na ninapost! Nipo kwenye dunia yangu ya kujipendekeza km mnavyosema,” ameandika kwenye picha aliyoiweka Instagram ikiwaonesha Diamond, Zari na mtoto wao Tiffah wakifanya shopping.



“Hao hapo wa kina nani hao basi kuna watu kama nawaona mnavyo screenshot… Wambea msisahau kuitana. Sema kwa ninae mkeraaa naomba asinisamehe maana binafsi sijajisamehe kupost hao watu,” ameongeza.
“Kitu kingine am in Love are u in Love????Haya wacha nifanyiwe massage kidogo na bebe nyie endeleeni kuchimba dawa kwenye post yangu…Ooopsss i mean kuchimba maneno.”

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment