Picha: Lady Jaydee kufanya collabo na Nameless?



Lady Jaydee yupo jijini Nairobi, Kenya pamoja na meneja wake mpya, Seven Mosha.



Lady Jaydee na Seven Mosha
Wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja tangu waanze kufanya kazi mwishoni mwa mwaka uliopita.



Nameless na Jaydee

Jaydee aliyekaa kimya kwa muda sasa huku akionesha kuwa kwenye mkakati mkubwa wa kurejea kwa kishindo, ameshare picha akiwa amekumbatiana studio na hitmaker wa ‘Nasinzia’ wakiwa studio hali inayoonesha kuwa huenda wakawa wamerekodi wimbo pamoja.



Jide pia ameshare picha nyingine Instagram akiwa na mpiga gitaa wa Sauti Sol studio na kuandika: Ukweli ni kwamba sitaki kurudi kuishi Bunda (Mara) Ndio maana nimeamkia kwa @itsmefancyfingers #BingwaWaKujihami #JideMjeruuu #GutsOverFear #2016KaziNiKazi.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment