Madee aingia kwenye biashara ya magari ya kukodi




Madee amefungua mwaka kibiashara zaidi kwa kuja na kampuni ya kukodisha magari iitwayo Tip Top Connection Tour.



Madee amesema ameona ni bora afungue mwaka 2016 kibiashara zaidi.

“Nimefungua kampuni ya kukodisha magari ambayo inaitwa Tip Top Connection Tour,” alisema.

“Tutakuwa tunakodisha watu ambao watakuwa na safari zao ndani ya Dar es Salaam na nje wanione mimi.”

Kwahiyo mwaka 2016 ndio utakuwa hivyo thabiti kabisa kwa sababu tayari tulikuwa tunajaribu kuongeza gari na kufikia saba, hiyo ndiyo mipango mikubwa sana mwaka 2016,” aliiambia XXL ya Clouds FM.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment