Wakali wa filamu nchini Marekani, Angelina Jolie na mumewe, Brad Pitt, wamechora ‘tattoo’ mpya kwa ajili ya kutangaza filamu yao mpya.
Mwaka jana mwishoni, Angelina alichora baadhi ya michoro mwilini mwake, juzi aliongeza michoro mitatu mipya mgongoni mwake kwa ajili ya kuitangaza filamu yake mpya inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni akiwa ameipa jina la ‘First They Killed My Father’.
“Nimechora michoro hiyo kwa ajili ya kuhamasisha amani na upendo kwa kila mmoja, nakumbuka kwamba baba yangu aliuawa, hivyo najisikia vibaya katika maisha yangu na ndiyo maana nahitaji amani na upendo kwenye filamu yangu mpya,” alisema Angelina.

0 comments:
Post a Comment