Ciara kumshtaki Future kwa madai kwamba anamtangaza kuwa hafai kuwa mama wa familia




Msanii wa muziki nchini Marekani, Ciara Harris, amedai kwamba yupo mbioni kumfungulia mashtaka mpenzi wake, Nayvadius Wilburn ‘Future’, kwa madai kwamba anamtangaza kuwa hafai kuwa mama wa familia.

Wawili hao wamekuwa kwenye uhusiano kwa kipindi kirefu lakini wana mgogoro wa tuhuma za kusalitiana kimapenzi.

“Tulikuwa kwenye uhusiano, lakini kwa sasa kila mmoja anafanya mambo yake, ila ninashangaa kuona ananitangazia mambo tofauti kila siku, sina muda wa kujibizana naye, kikubwa aniache kama nilivyo.

“Ninaamini hakuna mtu ambaye amekamilika, hata yeye ana makosa yake, ila kama ataendelea na maneno yake nitamfikisha sehemu husika na itamgharimu dola milioni 15,” alisema Ciara.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment