Belle 9 awavuta Idris Sultan, Jux, Millian na Bella Kombo kwenye Love Potion Jumamosi hii
Belle 9 anatarajia kuikaribisha siku ya wapendanao, Valentine’s Day kwa show aliyoipa jina la ‘Love Potion.’
Show hiyo itafanyika Jumamosi hii pande za Sky Night Life Masaki jijini Dar es Salaam.
Host wa show itakuwa mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan huku Jux, Millian na Bella Kombo wakimsindikiza msanii huyo.
0 comments:
Post a Comment