Wema Sepetu athibitisha ujauzito wake kutoka ‘imeniuma sana’



Wema Sepetu amethibitisha kuwa ujauzito wake aliokuwa ameubeba umetoka.



Taarifa hiyo ilianza kusambaa baada ya mpenzi wake Idris Sultan kuandika ujumbe wa kupoteza watoto wake mapacha waliokuwa tumboni bado.

Kupitia Instagram, Wema ameandika:

Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything. Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wameonyesha moyo wa kibinadamu. Nawashukuru kwa upendo wenu, MNANIPA NGUVU. Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI. Alhamdulillah kwa siku ya kesho. Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA. Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh…sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU. Alhamdulillah for EVERYTHING!

Pole Wema.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment