Staa wa filamu Jacqueline Wolper aka ‘WolperGambe’ ameamua kuandaa filamu ‘Gambeka’ jina ambalo limetokana na aka yake. Katika filamu hiyo Jackie amecheza kama mwanadada mlevi.
Kupitia instagram, Wolper ameandika:
New movie ni hatari 😂😂😂😂👉 gambeka💃👉 shabq yangu kaa mkao wakufurahi 🙏mungu tusimamie.
Muigizaji huyo, amewai kutamba na filamu kama Tom Boy, After Death, Hard Price na nyingine nyingi.
Nini maoni yako juu ya ujio wa filamu hiyo?
0 comments:
Post a Comment