Msanii wa muziki, Daz Baba amesema anatarajia kuachia wimbo mpya wa kundi la ‘Tanzaniano’.
Daz ambaye aliwahi kutamba na wimbo ‘Namba Nane’, ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo ni kazi ambayo itawafanya waendelee kutoa kazi za kundi hilo mfululizo.
“Daz sasa hivi sitaki kuna mwenyewe, tunaanza kutoa kazi za kundi la Tanzaniano, tayari tumeshandaa kazi kadhaa lakini sasa hivi tunaachia ‘Salamu Nimpe Nani’,” alisema Daz.
Aliongeza, “Kwa hiyo sasa hivi ni bandika bandua, tunataka kurudisha heshima ya kundi la Tanzaniano. Na hii kazi itatoka na video,”

0 comments:
Post a Comment