Nick wa Pili adai wasanii hutumia unga kustarehe na si sababu ya stress



Nick wa Pili amedai kuwa imani kwamba wasanii hujiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kwasababu ya stress za maisha si za kweli.



Amedai kuwa stress ni kitu kinachowapata watu wengi si wasanii tu.

“Maisha tunayoishi watu wengi sana tuna stress hatuwezi kusema sisi wanamuziki tuko special, watu wako stressed a lot lakini mbona hawali unga?” alihoji Nick kwenye kipindi cha Ladha 3600 cha EFM.

Nick alidai kuwa vijana wanatakiwa kuepuka kabisa na matumizi ya vitu kama bangi au vilevi vikali ambavyo huwapelekea kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment