Soko linalounganisha nchi mbili za Africa na wanazungumza lugha sita sokoni hapo






Soko hili hufunguliwa siku ya alhamisi ambapo wafanyabiashara wadogo hupanga bidhaa mbalimbli kwa ajili ya kuuza, lipo Okavu kaskazini mashariki ya Uganda kwenye barabara ambayo upande mmoja ni Uganda na upande mwingine ni nchi ya Congo pia imeelezwa kuwa eneo hili la soko kuna lugha sita zinazozungumzwa kutokana na kwamba lipo kwenye mpaka wa nchi hizo mbili.



Soko hilo limepewa jina la Kampala-Kinshasa Market kutokana na waganda pamoja na wacongo kufanya biashara pamoja katika soko hilo.



Source Millard Ayo

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment