Kanye West apanga kuachia nyimbo mpya na nguo zake kwa kushtukiza


Rapper Kanye West anadaiwa kuandaa mashambulizi kwa ajili ya kuachia kazi zake mpya kwa kushtukiza.



Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa E! News, Kanye amekuwa katika hali nzuri kila siku tangu aliporuhusiwa hospitalini miezi miwili iliyopita lakini pia ana kazi chache ambazo anatarajia kuachia kwa kushtukiza ikiwemo kazi zake za mitindo pamoja na muziki.

“Kanye has a few surprise projects coming up that involves music and concerts in the spring and summer. Plus he is working on his fashion line and some collaborations,” kimesema chanzo hiko.

Wakati huo huo chanzo hiko kimeongeza kuwa watoto wake wamekuwa kitu muhimu kwake, kwahiyo anataka kuwa baba mzuri ili kumfanya mama yake afurahie hilo. “His kids are his number one priority for him and he wants to be a good dad and make his mother proud,” an insider shared with E! News. “He thinks about her every day,” kimeongeza.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment