King Majuto: Sitoacha kuigiza ng’o hata sauti ikikata (Video)






King Majuto amesema hawezi tena kustaafu kuigiza hata akiwa mzee kiasi gani.



Amesema kuishi bila kufanya kazi hiyo anajiona hayuko sawa.
“Kustaafu kwangu hakupo kwa sababu kila nikikaa natamani nicheze sinema,” aliiambia Bongo5. “Labda mdomo usifanye kazi lakini hata nisipoweza kuongea nitafanya kwa vitendo kama akina Mr Bean.”
Majuto amesema kustaafu kwake ni kuacha kufanya filamu za watu wa nje.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment